Jesso!!Mkewe Alikiba awashangaza wengi baada ya kuposti video ya wabeba jeneza

80505105_172171497326133_181439931952755368_n-696x695
80505105_172171497326133_181439931952755368_n-696x695
Mkewe mwanamuziki wa nyimbo za Bongo Alikiba Amina Khalef aliwaacha wengi midomo wazi na maswali chungu nzima kama kila kitu kiko sawa katika maisha yake.

Hii ni baada ya kuposti video katika mtandao wa kijamii wa wanaume wakiwa wamebeba jeneza au sanduku la maiti, wanaume hao kutoka Ghana wameenea sana katika mitandao ya kijamii kwa kazi wanayofanya.

"R.I.P😊." Aliandika ujumbe mfupi baada ya video hiyo.

Wabeba jeneza hao huwa wanalipwa kubeba maiti ili kuwapa safari njema huku wakicheza mziki.

Mashabiki wake kwa haraka walitoa hisia zao kuhusiana na video hiyo huku wengi wakisema kuwa si kwema. Uhusiano wa Alikiba na Amina umekuwa na uvumi mwingi kuwa wameachana.

jumalokole2 😂😂😂😂😂😂😂 nilizani pambe ni kwangu tu 😂😂😂😂😂 kumbe adi kwa mke wa YOOOOOO 😂😂😂😂😂 kawapost wazee wa kazi wanaenda kuzika 😂😂😂😂 leo kucheleeeeeeeee

vee.24 Makaburi ya mombasa yamedamshi leo wanataka wakazikie kariakoo

mamush_mamuh 😂😂😂😂bado biriani tu msiba kwisha

imani_amani Kwisha maneno, Amina na Tanasha msirudi nyuma aisee😂

sirimsambya Humo kuna adi vyeti vya ndoa 😂

kenerd_di_blackmoon Nini tena, usiwe umezika ndoa humu duh tutaambia nn watu

Akimjibu mmoja wa mashabiki aliyemuuliza kwamba atarudi nchini Tanzania lini kwa maana sasa Amina anaishi na wazazi wake mjini Mombasa alikuwa na haya ya kumjibu.

"I LOVE TANZANIA AND WILL COME VERY SOON." Amina Alisema.