Ronaldo amesema kuwa alihisi fedheha kubwa sana.
Soma hadithi nyingine:
Juhudi zilikuwa nyingi za kuificha familia yake dhidi ya madai haya.
Ronaldo alishtumiwa kumbaka mwanadada Kathryn katika hoteli moja eno la Las Vegas Juni 2009.
Nyota huyu alipata afueni baada ya waendesha mashataka kusema kuwa madai hayo hayakuwa na msingi wowote wa kisheria. Kulingana na mchezaji huyu wa soka.
Soma hadithi nyingine:
Kashfa ya kumhusisha katika swala la ubakaji ilimzonga sana kimawazo
Hakutaka familia hususan watoto wake wafahamu kisa hiki.
"Wanaichezea sana hadhi yako.' Alisema Ronaldo
Soma hadithi nyingine:
"Mpaka nakumbuka siku moja nimetulia sebuleni na mpenzi wangu tukitazama habari za runinga na zikaja zile taarifa." Aliendelea kusimulia
"Ghafla nikawasikia watoto wangu wakiteremka kuja sebuleni nikabadilisha channel."
'Nilibadilisha kwa sababu sikutaka Ronaldo Jnr atazame babake akihusishwa na kesi mbaya."