Jinsi nilivyonusurika vita vya kaunti ya Embu - Martin Wambora

martin wambora
martin wambora
Gavana wa Embu Martin Wambora ameona yote mwanadamu angeona akiwa uhai, si vita tu vya siasa ilhali aliweza kubatizwa na moto kisha hakutoka akiwa na majeraha yoyote wala na maumivu yoyote.

Yeye ni bwana wa siasa aliyenusurika kama vile wengi wanavyosema.

Wambora ana maisha tisa ya kusimulia, wengi wanasema kuwa anapaswa kuanza kipindi cha kuwapa watu matumaini ambao walio poteza matumaini.

Vile ya kunusurika ombi la matata ya uchaguzi uliopita na pia kutokubali ombi la mashtaka.

"Si Gavana wa Embu Martin Wambora ameona yote mwanadamu angeona akiwa uhai, si vita tu vya siasa ilhali aliweza kubatizwa na moto ui niite maisha tisa, lakini inaweza kuwa mingi, msichana wangu Mukami Wambora  ambaye ni mwandishi wa habari katika televisheni ya citizen,

"Aliweza kukutana na changamoto 19 ambazo mimi mwenyewe niliweza kukutana nazo na zingine hazijui," Alieleza akiwa anacheka Wambora.

Wambora alishtakiwa mara mbili 2014 na kata ya mkutano. Katika mashtaka ya kwanza kesi iliidhinishwa na seneti  wakati wabunge walipiga kura ili kumpeleka kufunga.

Kuna wakati  maisha ya siasa ya Wambora iliweza kuwa katika mstari wa kwanza katika mahakama na kisha kutawala aweze kutoka ofisini.

Wambora hakupinga utawala wa mahakam,a aliweza kukaa nje ya ofisi kwa miezi miwili, na kupewa tena ofisi yake na mahakama ambayo iliweza kutawala akae nje kwa muda.

Alipo linda ushindi wake wa pili 2017, alianza duwa ya kisheria ya muda mrefu na Nemesis ya kisiasa, aliyekuwa senata wa Embu Lenny Kivuti.

Uchaguzi ulikuwa umeshaa fungwa. Wambora aliweza kumshinda na kura 985. Mgogoro wa kisheria ulioanza katika mahakama ya juu kwa muda wa miezi 16.

Kivuti aliweza kushinda kesi mara ya kwanza uchaguzi wa Wambora ulipo kataliwa na mahakama mwaka jana Februari , uso wake ulipata tabasamu wakati mahakama ya rufaa ilikataana na uamuzi wa mahakama ya juu.

Katika mahojiano na gazeti la the star, aliweza kueleza shida ambazo amepitia katika siasa na vile alivyonusurika.

"Askofu wangu, askofu Kariuki aliweza kuniuliza imekuwaje sijakuwa na shida ya afya bali nilimuambia ni maombi, na pia kuelewa niko na wapiga kura," Wambora alisema.

Kulingana na chief wa kata alisema kushtakiwa kwa Wambora kulikuwa kwa watu waliotaka kutumia pesa za kaunti vibaya.

"Nilikuwa nasikia watu wakihapa nakusema kuwa wanataka siku 90 tu ili kupata millioni100," Wambora alikumbuka.

"Katika maneno hayo na vile watu walivyokuwa wakiongea ningeweza aje kuacha watu kuteseka hakuna vile ningeweza kuwaacha."

Aliweza kusema pia katika changamoto hizo hakuna vile angeacha kwa maana kulikuwa na changamoto mingi.

"Hapana, singe kumbukwa kwa kitu chochote, singewacha kiti hicho, na haitatendeka, singewasaliti watu wangu kwanza nilivyofikiria kuwaacha watu wangu katika mikono ya  waporaji, jambo hilo ndilo lilinipea nguvu," Alieleza Wambora.

Pia alikumbuka wakati wa mashtaka yake wanasiasa wengi ikiwemo mwenyekiti wa TNA Johnson Sakaja, alimpigia simu na kumwambia awachane na siasa lakini aliweza kuwajibu ipasavyo.

"Sikujali nani angenipigia simu, lakini niliweza kuwajibu hii kiti si ya mamako hii kiti ni ya wananchi," Alizungumza Martin.

Wakati ambao aliweza kuwa ameshushika chini ni wakati mahakama iliweza kutawala asiende katika ofisi familia na watoto wake, ndio walikuwa wanampa nguvu.