Jinsi wakenya walivyo wakandamiza watanzania baada ya ushindi wa Harambee Stars

magufuli uhuru
magufuli uhuru
Wakenya kwenye mitandao ya kijamii haswaa Twitter waliwakandamiza majirani wao wa Tanzania baada ya Harambee Stars kuitandika Taifa Stars, mabao 3-2.

Kenya walitoka nyuma mara mbili na kuwapa Tanzania kipigo ambacho kiliwaacha chini ya kundi C na basi kuzima matumaini yao ya kufuzu katika raundi 16 bora.

Wakenya ambao kabla ya mechi hii walikuwa tayari wamewapa maneno majirano wao, hawakuchelewa pindi tu Michael Olunga alifunga bao la tatu na la ushindi, kwani walitumia kila namna, kila picha na video kuwashambulia mtandaoni.

Huku wakishambulia nyimbo zao za Bongo, wengine waliwakumbusha kuwa hakuna siku ambayo watashinda michuano yoyote dhidi yetu.

Ifuatayo ni mifano ya mashambulizi ambayo watanzania walipokea.