yy

Jionee mwenyewe:Aina ya Surwali za ndani unazostahili kuvaa kama mwanamke.

1; Boy shorts.

Zimetengenezwa kama mviringo  na hufanana sana na hip sters.

Hazini mijirizi ama lines na huvaliwa majira ya jua.

Unaeza valia kwa sketi ama long’i.

black pink boy shorts women underwear image, list of women's undergarments

2;Classic Briefs.

Za fahamika sana kama Granny panties.

Huvaliwa sana na wanawake wenye viuno vikubwa kutokana na uwezo wake wa kutanuliwa wakati wa kuiva.

Huvaliwa wakati wa majira ya baridi.

pink classic bikini brief, which type of panty use in periods

3:FRENCH CUT Panties.

Hizi zinajulikanba sana kuvaliwa na wanawake kutokana na uwezo wa kuvutia wanaume.

Huvaliwa pia wakati wa kujivinjira kama vile kuogelea ama kulala tu kwa jua.

Unaeza zivalia wakati mwingine ambapo majiri yanabadilika ama ni sawia.

black solid french cut panty

4:Hipsters.

Kwa wanaume nadhani wapenzi wenyu wamewahi watembelea kama wamevalia hili vaza hapa.

Zinafahamika tena kama vile huggers kwa vile zinagwamia tu karibu na hips .

Huvaliwa saana kwa long’i aina ya jeans.

navy blue hipster brief for women

5;Thongs:

Huvaliwa sana na wanawake wakati wa kuenda kujivinjari kama vile honeymoon.

Miundo yake hufikia takriban inji tatu katika kiuno cha mwanamke.

Huvaliwa wakati wa majiri ya jua ama kawaida tu.

Xs and Os Women's Thong Pink Panty(Pack of 1)

6;G-String;

Hukaribia sana kufanana na thongs tofauti ni kuwa hushikilia kiuno cha mwanamke mwili nusu na kuacha nafasi baina ya mapacha.

Huvaliwa wakati labda mwanamke anataka kusisimua hisia za mwanaume wafanye pekejeng.

g-string women's underwear, panty names, G string panty

7; Tanga;

Huvaliwa sana na wazungu kutokana na vile zinavyoachilia sehemu ndogo ya makalio.

Wakati mwingi hutumika sana katika maeneo ya kujinjari kama vile karibu na bahari .

pink floral embroidered tanga brief

8 Butt lifter.

Zimetengenezwa katika njia ya kipekee kwani huongezea uzito usio wa kawaida kwa mwanamke.

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments