John De Mathew aaga dunia kutokana na ajali ya barabarani

John Demathew aliaga dunia baada ya kupata ajali ya barabarani katika eneo la Bleu Post thika asubuhi ya kuamkia jumatatu. De mathew alikuwa mwanamziki wa nyimbo za lugha ya kikuyu na anajulikana kwa wimbo wake, 'Njata yakwa' uliomhusisha mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Murang'a Sabina Chege.

Wakenya wamezidi kuomboleza kifo chake Demathew huku wengi wakituma risala za rambirambi kwa familia yake.

For this world wasn't our home shine on your on your way home where we all belong RIPDemathew #RIPJohnDeMathew