Jombi amuoa mama na binti wake! Alshabaab wamuaa

_105291261_3648c2b9-a704-4564-86e1-8cd198025fe4
_105291261_3648c2b9-a704-4564-86e1-8cd198025fe4
Kundi haramu la wanamgambo nchini Somalia Alshabaab wamemuua jamaa wa miaka 70 aliyemuoa mamake na bintiye. Hii ni kwa mujibu wa memo iliyochapishwa katika tovuti ya vyanzo vya karibu zaidi na kundi hili.

Soma hadithi nyingine:

Jamaa huyu wa miaka 70 aliburuzwa na wanamgambo hao na kuletwa mbele ya kongamano la raia nchini humo katika kitongojiduni cha Toratorow kusini mwa Somalia na kumpigwa risasi. Aidha jamaa huy0 alikana madai hayo kabla wanamgambo hao kumuua.

Soma hadithi nyingine:

 Inadaiwa kuwa jamaa huyo alihepa na kupotea na binti wake na baadae mamake siku chache kabla auawe jambo na ambalo linahitilafiana na itikadi za jamii hiyo. Sio mara ya kwanza kundi hili la wanamgambo kuwaua raia wanaokiuka mila na desturi za jamii.

Soma hadithi nyingine:

Totarow ni kijiji kimoja na ambacho kipo chini ya kundi hili.