Juliani asema, Bob Collymore alikuwa shujaa mpole

64591579_2373025736308601_1453847120337588469_n (1)
64591579_2373025736308601_1453847120337588469_n (1)
Juliani alikuwa miongoni mwa watu wachache waliokuwa wamealikwa kwa harusi ya Bob Collymore.

Bob aliiaga dunia siku ya Jumatatu na mwili wake kuchomwa siku ya Jumanne pale Kariokor.

Maisha yake bob yamesherehekewa na wengi.

Juliani na Bob walikutana miaka miwili iliyopita katika sherehe ya Safaricom, na tangu siku hiyo urafiki wao ukakua.

Juliani alisema,

Tulipopatana mara ya kwanza, nilimzungumzia kwa lugha ya kiswahili.

Aliendelea kusema kuwa Bob alikuwa mtu mnyenyekevu.

Bob aliipenda familia yake na walipofunga ndoa na mpenziwe wambui, wengi walimpongeza.

Juliani aliendelea na kusema,

Bob alimuliza kuhusu upigaji picha wake na mbona alitaka kupiga picha.