Kahaba auawa katika kilabu ya burudani ya Casablanca Mombasa

casablancaclubmombasa
casablancaclubmombasa
 Mshukiwa mmoja amekamatwa kuhusu mauaji ya kahaba mmoja katika kilabu ya burudani ya Casablanca mjini Mombasa.

Mauaji hayo yalitekelezwa mwoshoni mwa wiki baada ya mwili wa mwanamke huyo kupatika katika kitandani ukiwa na majeraha ya kisu.

Polisi wanasema  hawajamkamata mteja mwanamme aliyeoonekana na mwathiriwa.