Mwanamuziki wa nyimbo za injili Kambua kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram aliweza kumsifu mumewe kwa kutomuacha wakati alipokuwa akipitia magumu katika maisha yake.
;I keep liking this over and over forgetting i can only double tap once....babe you are soo blessed.. i join in this Thanksgiving..love you Ma .
" Wakati mungu alinipa na kuniunganisha nawe alijua nilichokua nikitaka katika maisha, ulinipenda na kunilinda uliongea maisha ndani yangu, wakati nilipokuwa nimetengwa na wakati matusi na laana zilikuwa zimenenwa juu yangu ulikuwa na mimi," Aliandika Kambua.
Kambua aliendelea nakusema kuwa,
Ni ujumbe ambao uliwafanya wasanii na mashabiki wengi kumpongeza mwanamuziki Kambua, zifuatazo ni baadhi ya jumbe ambazo waliweza kutuma katika mtandao wa kijamii.