Kasisi alinipa shillingi,12000 baada ya kupekejeng naye- Mwanamke Asimulia

flirt
flirt
Ni wazi kuwa tunafikia nyakati za mwisho ambazo zilizungumziwa manabii katika Bibilia takatifu na hata Quran kuwa wakati wa mwisho mambo ya kustaajabisha yatakuwepo.

Mwanamke mmoja kupitia mtandao wa kijamii alisimulia jinsi alivyo shiriki ngono na mchungaji wake ili hasimdharau.

Alieleza  kuwa kasisi huyo alimuuliza ili wafanye kitendo hicho na hangeweza kukataa ili mchungaji asifikiri  amemdharau.

Lakini kwa sasa ,anajutia kitendo hicho alichoshiriki na kasisi huyo kutokana na aibu inayomjia kila wakati akilini.

Mary alikuwa na haya ya kueleza,

“I JUST SLEPT WITH MY REV FATHER , A PRIEST IN OUR CHURCH WITHOUT PROTECTION I DID NOT GO TO HIM HE CAME TO ME AND I DID NOT WANT DISRESPECT HIM.

SO I OPENED UP MY BODY AND HE USED ME HE EVEN TRIED TO PENETRATE ME FROM BEHIND  BUT I REFUSED AFTER S@X  HE ASKED US TO PRAY .

WE KNELT DOWN AND IMMEDIATELY AFTER PRAYERS HE TOLD ME TO GO AND SIN NO MORE THEN GAVE ME 12 THOUSAND  AND SAID I SHOULD USE IT TO TAKE CARE OF MYSELF." Alisema Mary.

Mary aliomba apewe ushauri baada ya kuongeza maneno haya,

‘WHAT DOES HE MEAN EXACTLY WHEN HE SAID I SHOULD GO AND SIN NO MORE? HOW DO I TAKE CARE OF MYSELF?

HE DID NOT EVEN GIVE ME A HUG OR CLEAN ME UP LIKE MY BOYFRIEND DOES HE JUST LEFT ME AND WENT OUT

PLEASE ADVICE ME AND DO NOT INSULT ME BECAUSE I ALREADY HATE MYSELF.” Mary Alizungumza.

Ni ushauri upi unaweza kumpa Mary baada ya kufanya kitendo hicho?