Kate Actress awafunze wanawake jinsi ya kuwa mke mwema!Soma umakinike

Kate-Actress-talks-about-work-family-balance-597x600
Kate-Actress-talks-about-work-family-balance-597x600

Amini usiamini,katika maisha ya wakati huu,wanawake wengi wanapata matatizo wakijaribu kusawazisha muda wa kufanya kazi zao na majukumu ya mke nyumbani.

https://www.instagram.com/p/B3H25T6nQd2/

Binti Kate Actress ambaye anakaribia kujifungua alifungua roho kwenye mtandao wa kijamii na kueleza ni vipi mwanamke anaweza kupanga mambo yake ili aweze kufanya vyema kazini na pia afaulu katika kudumisha familia yake.

 Kate Actress alisema,
''Hey Kate , How do you find balance ? Between career and family ??? I keep getting this question . Please if you find that Balance before I do , sambaza it ! Truth is , it’s really hard for all of us . Being a mom is a calling . ! We breakdown in secret , we crave for a break every now and then , we worry about our families till the day we die ! May God reward us 🙏🏿❤️. Call a mum you know today and just appreciate her''

https://www.instagram.com/p/B4aFN6sHfOg/