Kati yangu na Diamond ilikuwa kitu ya kumaliziana tu!,Video Vixen apasua mbarika

Doamodn-Platnumz-Tanzania
Doamodn-Platnumz-Tanzania
NA NICKSON TOSI

Tumekuwepo na gumzo mitandaoni zinazomhusisha Diamond na msichana kwa jina Mia ambaye alimshirikisha katika video ya wimbo wake kuhusiana na madai kuwa Diamond alimkaribisha nyumbani kwake Madale kushiriki ngono naye mida ya saa  nne.

Mia anadai Diamond alimuandikia ujumbe  wa kutaka aende kumtembelea kwa kasri lake ila akataja mwaliko huo kama kitu cha kumaliziana tu wenyewe kwa wenyewe.

Aliinta niende kwake mida ya saa nne hivi,nilikuwa kwangu najishughulisha na shughuli zangu tu za hapa na pale,kufika huko ikabidi nilale naye,alisimulia Mia.

Yaliyotokea ni hayo kwa sababu nakumbuka aliniarifu kuwa shughuli hiyo kati yake na mimi ilikuwa ya kumaliziana papo hapo,aliongezea Mia 

Baada ya tukio hilo la Diomand kuonja asali ya Mia ,msichana huyo aliamua kuchukua video akiwa nje ya nyumba ya Diamond swala lililomfanya mwanamziki huyo kukasirika.

Baada ya mimi kumalizana na Diamond,niliamua kuchukuwa video nje ya nyumba yake ,sikuchukuwa video kwa lengo mbaya ila yeye ndio alidhania vibaya.alinifuata akiniomba  simu yangu nikampatia na alipoichukua alifuta kila kitu kilichokuwamo .alieleza Mia.

Aliongeza kuwa wakati Diamond alipokuwa anaifuta video hiyo kutoka kwa simu yake,maelfu ya mashabiki wake walikuwa washaiona hivyo wakafahamu kuwa alikuwa anachumbiana na Diamond  ,swala lililomfanya  kumlazimu kupiga picha na wafanyaklazi wake ndiposa mashabiki wake wadhania kuwa alikuwa anachumbiana nao.

Kwa mara ya kwanza mwanadada huyo akizungumza na televisheni moja ya humo nchini amesema kuwa alikwisha msameghe mwanamziki huyo na hapanii tena kuibua taarifa hiyo.

Sitaki kurejelea kisa hicho kamwe,mimi ni mtu wa kusamehe kila wakati,nilimsamehe na hata sipaanii kukizungumzia hapa tena ,nishaanza safari mpya katika maisha yangu .alisema Mia