'Katika kila jaribio mlinipa nguvu,' Akothee awaambia wanawe

82140991_246035146820706_8200829769018642558_n
82140991_246035146820706_8200829769018642558_n
Msanii Esther Akoth almaarufu Akothee na mama wa watoto watano amewashukuru wanawe kwa kufanya ulezi wake kwao huwe mwepesi.

Licha ya Akothee kuwa mwanamuziki amewalea watoto wenye adabu na heshima nyingi kwa watu wengi.

Kwa muda msanii huyo amenakili kwenye mitandao ya kijamii vile wanawe wamemuwezesha kuwa mama bora kwao na pia kwa upendo wao kwa kila mmoja, kwa unyenyekevu na ukarimu wao.

Akothee alijawa na hisia baada ya kugundua wanawe wamekuwa kwa haraka hasa wale wa kike, alisema kuwa wanawe si wale wadogo ambao alikuwa anwabeba kwenye mgongo wake ama aliokuwa anawaimbia nyimbo waweze kulala.

Kwa uchungu Akothee aliwashukuru wanawe kwa kumtoa kwenye zizi la machozi na kumpa amani na furaha tele.

"You are slowly sliding off my hands because of age, but I would like to tell you that the whole journey with you was full of encouragement despite every challenge. You gave me strength."

Alisema kuwa anajivunia kwa yale yote amepitia tu kuleta tabasamu katika uso wa wana wake.

Awali Akothee alisema anaweza kuachana na uhusiano ili kuweka tabasamu usoni mwa wanawe, kwa kweli anapendezwa na baba wa watoto wake wavulana kwa maana anawapenda watoto wake wote.

Msanii huyo alihakikisha wanawe wote wamepata elimu na hamna aliyetumwa nyumbani kwa ajili ya karo ya shule.

"even when I felt like I can't do it anymore ,so I asked myself ,If not me ! Then who ? I have moved homes ,houses ,countries and cities in search of your happines and stability, I asked no one for an advice ,for everytime I started to narrate my pain, I felt its useless, , and I I should use that time to fend for your happiness, I really miss you to death, when I still had control over you , now even Oyoo can decide to tell me he is not going to church with me ,& I have to respect that its the generation 🙏🏾, I dont think I would enjoy any other moments of my life like I did with you.I thank God for the woman I became, please enjoy your family while it lasts ,its the greatest wealth anyone can have ! Its fulfilling

Someone asked how wealthy am I

Yes I am very rich and healthy

See my riches above ,my children are my wealth, thats All I care for ,I can buy as many houses as my pocket can allow me, and I can sleep in only one bed at a time , I can also sell them when I don't need." Akothee alinakili.