Katoto hodari! Tazama picha za mpenziwe mwanahabari Stephen Letoo

Wengi wanamfahamu mwanahabari Stephen Letoo kwa weledi wake katika kuripoti habari kwa runinga. Letoo amekuwa akidhihirisha mapenzi yake kwa barafu yake ya roho na ni wazi kwamba mahaba kati ya wapenzi hao wawili yamenoga na kumezewa mate na wengi.

Kupitia mitandao ya kijamii, letoo amekuwa akimuonyesha mkewe Santino Leiyan mapenzi tele.

Tazama picha za mkewe Letoo;

Katika maadhimisho ya siku ya kina mama alimwandikia mkewe ujumbe wa mahaba;

"WHEN I LOOK AT YOU.. I LOOK AT THE PUREST LOVE I WILL EVER KNOW…HAPPY MOMS DAY BABE❤." Letoo Aliandika.

Mapenzi kweli ni kikohozi ukizuia chozi la huba litakusaliti.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO