Kauli ya Siku Ijumaa 16,Oktoba

Jiepushe na wanaokwambia hutobadilisha chochote na wasiokusaidia kufaulu

Unafaa kujua nia za wanaokuzingira

Muhtasari

 

  •  Watu wasiokusaidia kufaulu au wasioamini unaweza kuleta mabadiliko hawakufai kwa lolote 

 

Kauli ya Siku
Image: Yusuf Juma

 

Unafaa kujiepusha na aina mbili ya watu ;wanaokwambia kwamba hutobadilisha chochote na   wasiokusaidia kufaulu  

Maelezo: Watu wasiokusaidia kufaulu au wasioamini unaweza kuleta mabadiliko hawakufai kwa lolote 

 

 

 

Video from YusufJuma