Kauli ya siku! Rafiki ni mtu aina gani?

Rafiki ni mtu anayekujenga na kukusukuma kupiga hatua chanya katika maisha

Muhtasari

• Kumbuka kwamba maisha ni safari hata aliye bandarini, bado analenga kuenda nga’mbo ya pili

Mchoro wa wanawake wakitafuta kazi
Mchoro wa wanawake wakitafuta kazi
Image: ozone (The Star)

Rafiki ni mtu anayekujenga na kukusukuma kupiga hatua chanya katika maisha. Jiepushe na  madhohari ya wanaokuchekea lakini moyoni mwao  wana gere.

Kumbuka kwamba maisha ni safari hata aliye bandarini, bado analenga kuenda nga’mbo ya pili.