KEBS kushirikiana na EACC kubaini madai ya ufisadi ndani ya mamlaka hiyo

Mamlaka ya kutathmini ubora wa bidhaa nchini KEBS sasa inasema kuwa ipo tayari kushirikiana na tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC ili kubaini madai ya ufisadi yaliyoripotiwa ndani yaMamlaka hiyo.

Taarifa hii inajiri saa chache tu baada mkuu wa KEBS Bernard Njiraini kutiwa mbaroni kwa kushindwa kudhihirisha nakala ambazo EACC ili ikiitisha dhidi ya ufisadi.

“The Kenya Bureau of Standards (KEBS) is cooperating with the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) on issues relating to the Pre-Export Verification of Conformity Program (PVOC),” Imesema KEBS.

Imesema kuwa itashirikiana na kila asasi ya kitaifa ili kufanikisha uchunguzi unaoendelea kati ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo.

“We assure the public that as a statutory body, KEBS will give all the investigative arms of government maximum cooperation over this matter by providing all documents and information required,” 

EACC ilisema kuwa  Njiriani alikamatwa baada ya kukosa kuwasilisha nakala ambazo zilikuwa zinahitajika dhidi ya uchunguzi unaoendelea.

“EACC has been investigating allegations of procurement irregularities and payment of bribes in respect of awards for tenders for provision pre-export conformity of goods, used motor vehicles, mobile equipment and spare parts by KEBS,” .

Msemaji wa EACC Yassin Amaro amesema kuwa tume hiyo imekuwa ikimtaka Njiraini kutoa nakala hizo japo akatubilia mbali wito wao na hivyo kuchangia kulemazwa kwa uchunguzi uliokuwa unaendelezwa dhidi yake.

.”It said the MD was arrested “as a penal consequence of failing to comply with a Notice issued to him pursuant to Section 27 and Section 66 of the Anti-Corruption and Economic Crimes Act No. 3 of 2003. This is with a view of obtaining the said documents and preferring charges against him for his contravention.”