Shocked

Kenya Ina Mambo! Video ya Jamaa mmoja akipiga punyeto hadharani yawashangaza wanamitandao

Kwa kweli kama hujayaona yote basi njoo Kenya na utayashuhudia mpaka ya  kutamausha .Video moja inayosambaa kasi mitandaoni imewashangaza wanaotumia kumbi za kijamii baada ya jamaa mmoja kuonekana ‘akinyonga nyani’ ama kupiga punyeto hadharani- mchana peupe.

Haijabainika video hiyo ilichukuliwa wapi lakini ni katika steji ya mabasi hapa jijini.

Wanadada wawili waliokuwa mbele yake waliyashuhudia yote na wanaoonekana wakishangazwa na ‘ujasiri’ wa jamaa huyo . Wakati mwingine unapoamua kumsalimia mtu mikononi ,tahadhari na ndiposa ni muhimu sana kudumisha usafi wakati wote na kujiepusha na hatari kama hizo za walimwengu.Duh! Kenya ina mambo!

 

 

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments