Kenya kuimarisha matumizi ya teknojia katika malipo - Uhuru

Rais Uhuru Kenyatta ansema Kenya imepata ufanisi mkubwa kwa matumizi ya teknolojia katika sekta mbali mbali za kiuchumi hasa katika kujumuisha raia wengi kwa huduma za kifedha na utoaji wa huduma bora za umma.

“Afrika iko wazi kwa biashara na tunawahimiza mshirikiane nasi katika ujenzi wa ulimwengu bora na wenye ustawi zaidi kwa watu wetu wote,” kasema Rais.