fish-hawking

Kenyan Food.Kama hujakula vyakula hivi ,pole

Muthokoi and mbaazi

Chakula hiki ni maarufu sana nchini kenya haswa katika jamii ya Wakamba

Huwa ni mchanganyiko wa mahindi,na maharage lakini wanapenda kutumia mbaazi [cowpeas].

Muthokoi (Let's cook kenyan meals - Facebook)

2. Mursik

Si maziwa tu lakini ni maziwa ambayo yametengenezewa na kuhifadhiwa katika njia spesheli na ya kipekee na hunywa kwa kijiti maarufu kama itet.

Hupendwa sana na jamii ya Kalenjin ,pia huliwa kwa ugali.

Mursik (Pikstagram)

 

 3. Mukimo
Chakula kitamu na spesheli ambacho hupendwa kuandaliwa na jamii ya Akikuyu wakati wa sherehe ..
Mukimo - popular meal among the Kikuyu people
4. Samaki wa kupaka
Ukizuri Mwambao ama pwani ya kenya basi ulizia chakula hiki ,usizoee kuulizia pilau na biryani,jaribu hiki chakula vile vile.
Ni samaki iliyobondwa na kupigwa kwa mafuta ya nazi.
Samaki wa kupaka (cookpad)
5. Omena
Kisumu mpoo?,Chakula kinachopigwa na kuenziwa na wakaazi ziwa Viktoria .
Omena ni samaki wadogo wanaosemekana wana virutubisho ama nutrients  wingi.
Fried omena (cookpad)
6. Mrenda
Kama umechoshwa na Sukumawiki basi jaribu Mrenda ambao huongeza vitamini mwilini.
Mrenda (cookpad)

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments