Kifo hakina huruma! mcheshi Otoyo aomboleza

rip1-696x353
rip1-696x353
Anafahamika sana kwa ucheshi wake, leo hii ameandika katika mtandao wake wa kijamii akimuomboleza mume wa dada yake yaani kaka mkwe wake.

Otoyo hakuandika sababu ya kifo chake lakini aliandika na kusema,

"Rest on Bro Benedict safari tuva.... you will be missed and remembered, my elder sisters husband." Aliandika Otoyo.

Mashabiki wake walichukuwa muda na kutuma risala za rambirambi zao,

fashionwinegeek Ngai!Poleni captain!! God be with your family during these trying times!

254_gal Poleni captain, may his soul Rest In Peace

marrggee My condolences

itsakukudanger My condolences bro. May God give you guys strength at this time of upheaval

kimlove4iii Mungu awape faraja wakati huu wa majonzi.

wahinyaga Pole captain. May the Lord comfort your family

Zubeida kananu Inna lillahi wa inna illahi rajiun…Poleni sana…May his Soul RIP

mamanyaguthii Poleni sana. May his soul rest in peace.otoyo