Kilo 109 - 68! Wema Sepetu atoboa siri yake ya kupunguza uzani

images
images

Binti Wema Sepetu mwana mitindo wa kutoka Tanzania amekuwa na matatizo mengi ya kiafya kwa sababu ya uzani wake.

https://www.instagram.com/p/B4DLRz9HVZ0/

Baada ya muda mrefu hivi wa kutoonekana kwenye mitandao ya kijamii, binti huyu alifunguka juzi na amini usimini, kidosho huyu amegeuka kutoka kuwa mnene  na kuwa binti aliyechongeka si kidogo.

Wema alipozungumzia hali yake awali ya kuwa na uzani mkubwa alisema kuwa atawambia wanaosumbuka na unene siri ni ipi aliyoitumia ili kupunguza uzani wake.

“I will soon Share The Secret to my weight loss na Msijali nitajitahidi kula kula kidogo ili niongezeke hata kidogo tu… Just so you know nilikuwa nina 109kgs na sasa nina 68kgs… Najua kuna watu wengi sana wanasumbuliwa na unene na hawajui nini wafanye… I got you…!!! 😉😉😉”

Haya amini usimini, sadiki usisadiki,Wema amefunguka mwanzo mwisho na kueleza ni  siri  ipi aliyoitumia.

Nilikuwa naona Career yangu inaenda kufa, because nilikuwa nimenenepa sana. Na wakati huo nilikuwa natumia dawa za kusaidia ku conceive na side effect yak endo kulikuwa kule kunona sasa. So kuna wakati Van Vicker aliniuliza kama nitaweza kupata hata cast, kwa unene ule. So I was like hii ni read alarm. Nimefanya sana Gym lakini mwisho wa siku mimi nilikuwa na shida kwenye reproductive system yangu. So nilitreat lile tatizo, lakini Doctor akaniambia you have to start losing weight. So nilikuma na huyu mchina amabaye alinionyesha jinsi alivokuwa kitambo na sasana kuniambia Dawa ambazo nilikuwa na tumia ni hizi hapa, unakula kidonge kimoja. So nikaanza kutumia and so for I like it. So baada ya kupungua niliambiwa I have to wait for like 18 months ndo nijaribu kushika mimba tena. Na ufurahia mwili wangu wa sasa, I feel lighter, I feel comfortable, I feel more beautiful, sijiskie tena mzito mzito maana kule nilikuwa naelekea kulikuwa kubaya,” Wema alisema.

https://www.instagram.com/p/B4Cblh5nKL-/