Kisengerenyuma! Naibu wa Rais Ruto na mkewe katika zama zile( Picha)

Jana Alhamisi ilikuwa siku ya kukumbuka matukio ya nyuma tungali wachanga. Viongozi na mastaa tofauti tofauti duniani huchapisha picha zao za zamani na wafuasi wao kupanic sana kuwa ni wao kweli kisa picha za zamani hazifanani kidogo na picha zao za wakati huu.

Pata hadithi nyingine hapa:

Naibu wa Rais Bwana William Kipchirchir  Samoei Ruto almaarufu kama Hustler ni mojawapo ya viongozi wa karne hii ambao wametoka mbali na mkewe Rachel Chebet.

Soma hapa pia:

Ruto alimuoa mkewe mnamo mwaka 1991 na kwa sasa wamejaliwa na watoto 6. Katika ibada ya kanisani , Naibu wa rais aliwahi kufunguka A-Z jinsi walivyokutana na Rachel. Alisimulia jinsi alikuwa anamualika  kwake Ngando, Dagoretti alipokuwa anaishi kipindi kile.

"Nilikuwa nalipa shillingi 1,750 kwa kodi ya nyumba kila mwezi. Nilimpata bibi yangu Rachel tukiishi Dagoretti." Alisimulia Ruto.

Jipe uhondo hapa:

Tumekusogezea hapa baadhi ya picha za kitambo na za sasa uzilinganishe: