Kizuri ulichonipa ni Zahari,' Jacque Maribe amwandikia Eric Ujumbe

Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa  Eric Omondi baba wa mtoto wa Jacque Maribe, amemuandikia ujumbe spesheli kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.

Kupitia mtandao wa kijamii wa instagram Jacque alipost picha ya Eric na mtoto wake na kuandika maelezo mafupi yanayosema,

"The best thing you ever gave me was Zahari, and for that I am forever grateful to you. As you celebrate your birthday (later with us tonight) we remind you that you are an important piece of the puzzle that is our life. Happy birthday and I'll put up that long post alert of our life one day like you said." Jacque Aliandika.

Leo hii Eric ameandika ujumbe huku akijitakia siku njema ya kuzaliwa, wawili hao wamebarikiwa na mtoto ambaye anafahamika kama Zahari.

Wengi waliandika na kumtakia Eric siku njema baadhi ya mashabiki waliomtakia na kutoa maoni mbalimbali ni kama vile wafuatao.

Happy birthday Babake zahari
:Awww happy birthday to Ericko
:Happy birthday Eric, si muoane tu Sasa mlee mtoto