Kuwa na sponser ni sawa na kuwa kahaba-Asema Burale

Katika dunia ya leo vijana wengi hasa wakike wana tabia ya kutafuta matajiri wenye umri wa juu kuwaliko maarufu kama 'sponsers' sababu kuu ikiwa kupata hela za kugharamia maisha yao bila kutoa jasho.

Mshauri wa masuala ya kijamii Robert Burale anasema kwamba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na sponsor ili akupe fedha za kufadhili mahitaji yako kimaisha ni sawa na kuwa kahaba.

Sana sana wao hupatana kwa mitandao ya kijamii, huku wanawake wakiwinda wanaume rika za baba na wakati mwingine babu zao kwa lengo la kupata fedha huku wao nao wakinadi ngono.

"WHAT IS THE NEED OF HAVING A LONG TERM PLAN WHILE PUTTING YOUR HEALTH AT RISK THAT YOU MAY NOT BE ALIVE LONG ENOUGH TO ACTUALIZE YOUR PLAN?

FOR THE LADY WHO SAID YOU ARE JUST USING THE MEN,WOULD YOU GO TO KOINANGE AND SELL YOUR BODY?" Burale Aliuliza.

Aliendelea na kuwaambia kuwa kuchumbia mwanaume ambaye ana umri zaidi ili kuboresha maisha yake ni ukahaba huo.

"THAT IS EXACTLY WHAT YOU ARE DOING IN AN EDUCATED MANNER. THE LADIES WHO ARE IN KOINANGE ALSO USE MEN TO GET MONEY FOR THE SAME THINGS AS YOU ARE DOING." Aliongea.