hamo 1

Kumbe ni huyu? Litazame toto zito,saafi ambalo nusra liivunje ndoa ya na Sarah

Nicole Joyce Berry  ndiye  mwanadada katika video ya wimbo mpya wa Harmonize ‘Bedroom.’ Mwanadensi huyo mwenye talanta  pia ni  model na  mfanybiashara.

hamo 2

Kwa siku kadhaa sasa Harmonize na mkewe Saraha wamenuniana huku kila mmoja akiacha kumfuta mwenzake katika mitandao ya kijamii . Inavuja sasa kwamba Sarah hajafurahia picha nyingi za mume wake na Nicole mitandaoni . Nicole amewekwa  katikati ya mzozo kati ya Hamornize na mke wake .

‘Ulevi, Mke kunitoroka na marafiki kunisaliti’-Mwanariadha Asbel Kiprop azungumza

hamo 3

Msichana apata mimba ya babake na kumpokonya mamake mume

Kutokana na ushahidi katika mitandao ya kijamii ,Hamornize ndiye aliyeanzisha vita kati yae na mkewe .

Katika posti moja ,aliashiria kwamba yeye na Nicole wangekuwa Couple nyingine kali sana endapo angekuwa single .Aliandika ;

 ILA HIZI KAZI ZETU MUNGU NDIO ANATULINDA….!!!!!! NDIOMANA NIKAOGA MAPEMA HIVI NINGEKUWA SINGLE HUYU DADA INGEKUWAJE UNADHANI..??

Katika posti nyingine  ,Harmonize alionekana kumtangaza Nicole kama mwanamke ambaye alikuwa Single

Niwaibie Siri Mtoto Anamakusudi Huyu..!!!   Mbaya Zaidi Ananukia Kama Jinii..!!! Ndoa Za Ujanani Hizi..!!   i made it Kibishiii Cous I’m Rastafarian   ILA HII SHOT YA KITANDANI DAAH

Aliongeza ;

 Mmiliki wa Hiyo Lamani Ya Africa Ni Mtazania Kivutia Chetu Kingine. Ushindwe Wewe….!!! Mie Simo…!!!

Nicole amewavutia mashabiki wengi kwa umbo lake la kuvunja  na kweli urembo anao,zitazame picha zake

hamo 4

 

hamo 5

hamo 6

hamo 7

hamo 8

hamo 9

hamo 10

 

 

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments