Khaligraph-Jones

Kura yako: Nani bingwa wa mavazi kati ya Diamond na Khaligraph Jones?

Wadaku wa Udaku mitandaoni wameanza kusisimua hisia za wafwasi kwa kujaribu kutaka kujua kati ya Diamond na Khaligraph Jones ni nani anayevalia kumaliza watu.

Ni vyema pia ufahamu kuwa wanatathmini baina ya wanamziki hawa kufahamu nani ni mkali wa mavazi ,

wote wanafanya miziki tofauti na katika kitengo tofauti cha miziki.

Khaligraph Jones alishinda tuzo ya  Soundcity MVP jambo ambalo liliwakera sana waimbaji kutoka taifa la Nigeria baada ya kuandaliwa Lagos.

Image result for khaligraph jones photos

Diamond kwa upande wake wa kufahmika sana katika nyimbo za bongo,ameshinda tuzo nyingi kidogo ikilinganishwa na Jones japo anakumbwa na madai ya kuwapachika mimba wanawake wengi na kisha kuwaacha hoi.

Image result for diamond platinum photos

Wasanii hawa wote wametajwa kama wanaojituma katika kazi zao na hawakawii kabla ya kutoa nyimbo mpya kwa wafwasi wao.

 

Image result for diamond platinum photos

Image result for khaligraph jones photos

Picha ya siku: Familia ya Lulu Hassan na Rashid yapendeza wengi

Wakati wa kuadhimisha siku ya Wapendanao wasani hawa wote walikesha usiku wa wapenzi wao ,Diamond akiwa na Naivasha na kipenzi chake Tanasha .

Image result for diamond platinum na tanasha photos

Image result for khaligraph jones photos

Wasani wote hawa wameshirikiana na wasanii mbali mbali ili kufanikisha kazi zao ambazo zilikonga mawimbi ya angani ya mataifa mengi.

Image result for diamond platinum na tanasha photos

Image result for khaligraph jones photos

Tafakari hayo na kisha ufanye uamuzi wako ubaini kati ya Khaligraph Jones na Diamond nani anatisha upande wa mavazi.

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments