Kwa nini umkosoe Betty, ukimkosoa ni kama huna akili timamamu mashabiki wamtetea Betty Kyallo

Baada ya video ya mwanahabari Betty Kyallo kuenea katika mtandao wa kijamii akizungumza akiwa mlevi, wengi walibaki midomo wazi kwa kitendo hicho.

Wengi walibishana na kusema kuwa Betty ana umri wa mtu mzima na anapaswa kufanya chochote anachotaka.

Wakosoaji wake hawakufua dafu bali walizidi kukosoa lakini walikumbana na mashabiki wake ambao hawakuwa na mchezo na kumtetea vilivyo.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wa Betty Kyallo,

@kihikahhenry: Wakenya wanaeza fanya uhame Kenya …but a word for Betty ..don’t take it personal if they don’t know u personally.
@BravinYuri: There is Only as much pressure as someone can actually contain.
Every human being has an elastic limit.
Betty Kyalo has had her own piece of drama and to the wall she has reached. I just hope she feels better.’
@Lari08994465: How many times have you guys ranted to your friends when drunk .
Sometimes life throws your way things you cant handle and you break .
Its called being human we are all mortal beings and not immune to pain.
@EstherPirena: I love @BettyMKyallo so much.
She’s been through lot’s of shit which she hides behind that beautiful smile,we fail to understand she’s human too,the pressure to be perfect.

@LoloAles: Why troll Betty? What is your contribution to her life? I have been watching her, and I can attest that she has earned her own success and status.
Everyone has issues, and trolling Betty is a sign that you have issues yourself. Mental and or otherwise. Let Betty be.
@stanohmwasOnly a person who has ever gone through a rock bottom would understand and sympathize with what #Bettykyalo is going through…acha tu it’s tough.
I believe it’s worse when you’re a public figure and a lady because u can respond more to external vibes..let’s give her a break.