unnamed (4)

Mwanangu yuko kwenye kwarantini, waziri Kagwe afichua

Waziri Mutahi Kagwe alifichua kuwa mwanawe wa kiume  pamoja na mpwa wake wako kwenye kwarantini. “This is not a forced quarantine but a mandatory exercise...
Jambo Breaking News banner

Watu 7 zaidi wamepatikana na virusi vya Corona kufikisha idadi ya walioathirika kuwa 38

NA NICKSON TOSI Waziri wa afya Mutahi Kagwe amedhibitisha kuwa watu 7 zaidi wamepatikana na virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo  na madaktari na...
harmonize-696x365 (1)

Bonge la Hit! Harmonize arejea na wimbo mpya ”Bed Room”

NA NICKSON TOSI Masaa machache tu baada ya kujikuta pabaya baada ya nyimbo zake alizokuwa ameziweka kwenye mitandao ya Youtube kuondolewa kwa madai ya kuiba...
88929169_1112995119054134_4850096024343590977_n

Hii Kenya hatuhami!Njambi pabaya baada ya kusema amemiss kupata ujauzito

NA NICKSON TOSI Muigizaji wa kipindi cha Real househelps of kawangware Njambi ama kwa jina kamili Njeri Gachomba,amejikuta pabaya katika mtandao wake wa instagram na...
jackie chan

Jackie Chan kumzawidi atakayegundua kinga ya virusi vya Corona

Mkongwe wa filamu nchini China Jackie Chan ametangaza rasmi kupitia mtandao wa Weibo kuwa atatoa fedha kwa ajili ya mtu yoyote atakayegundua kinga ya ugonjwa...
kathykiuna

Upuzi na ushenzi usiostahili kamwe! Kuna nini hapa?

NA NICKSON TOSI Wakenya katika mitandao ya kijamii wamedhihirisha hamaki yao kwa wafuasi wa mchungaji Kathy Kiuna baada ya picha kuzagaa mitandaoni zikionyesha jinsi walivyokuwa...
balaa

Fika nyumbani mapeni! Tazama jinsi wakenya walivyodhulumiwa na polisi hiyo jana kwa kukosa kufika kwa nyumba saa 7 usiku

NA NICKSON TOSI Baada ya rais Kenyatta kutoa tangazo la kupiga marufu ya kutotembea  kuanzia saa 7 usiku hadi 5 asubuhi kuanza rasmi hiyo jana...
unnamed (3)

Mkenya mwingine afariki kutokana na COVID-19 ng’ambo

  Mgonjwa wa pili, ambaye ni Mkenya ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Coronavirus huko Massachusetts , nchini Marekani. Familia yake inasema alikuwa akipokea matibabu...
72337315_580819902657274_5157811287439616772_n (1)

Apata wa kumpa ”lungula” msimu huu wa Corona ,Corazon Kwamboka na Frankie Kiarie waibua hisia

NA NICKSON TOSI Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka amewacha wengi vinywa wazi baada ya kuweka picha katika mtandao wake wa kijamii akiwa na mpenzi wa zamani wa...
bahati

Aamua kuokoka! Bahati amuandikia Mungu barua baada ya kushutumiwa kwa muda

NA NICKSON TOSI Bahati jina lake linapotamkwa wengi hukumbuka baadhi ya nyimbo ambazo amezifanya na kukashifiwa na watu wanaoenzi miziki ya Injili. Msanii huyo katika...
pjimage (19) (1)

Labda ni kwa sababu mimi na Pierra ni DJs ndio maana mtoto wake anafanana na wangu,DJ Mo asema

NA NICKSON TOSI Siku za hivi karibuni tumekuwepo na mishe mishe kuwa labda mwanawe DJ Pierra ni mtoto wa mcheza santuri mwenza DJ Mo. Akiwa...
corona

85000 : Marekani yaongoza kwa maambukizi mengi ya Coronavirus duniani

Marekani imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya corona kuliko nchi nyingine yeyote duniani, kwa kuwa na visa zaidi ya 85,500. Kwa mujibu wa tawimu...
90089293_199918631265198_8284504329692590265_n

Mamayoo! Tazama picha za Tanasha kabla ya kukutana na Diamond

NA NICKSON TOSI Tanasha Donna jina ambalo likitajwa na wengi kinachowadia akilini mwa watu ni jinsi kidosho huyu alivyoumbwa na kuumbika. Ikiwa ni jumamosi tu...
money-more

Njia 5 za kuzuia kusota wakati huu wa kwarantini

    Ni rahisi sana kufikiria Kuwa nyakati hizi za quarantine zaweza kukusaidia kuweka feha kadhaa kwa akiba ikilinganishwa na wakati ambapo una shughuli kadha...
90765046_680858539383556_8393797598905048143_n (1)

Tanasha si wife material! Diamond hawezi oa mtu kama huyo,Adai Queen Darleen

NA NICKSON TOSI Tangu uhusiano wa Diamond na Tanasha Donna kufikia kikomo chake,dadake Diamond Queen Darleen amekuwa akipanua domo kuhusiana na uhusiano wa nduguye na...
corona.jfif

Hivi sasa kuhusiana na Corona! Watu 969 waaga dunia Italia chini ya masaa 24 kutokana na Corona

NA NICKSON TOSI Taifa la Italia limekuwa likirekodi idadi kubwa ya vifo vya watu kila siku kutokana na virusi vya Corona ambavyo inadaiwa vimezambaa kaskazini...
JAMBO BREAKING nEWS BANNER

Hivi sasa! Maafisa wa polisi wavamia makanisa mawili ya katoliki Bungoma

NA NICKSON TOSI Maafisa wa polisi katika kaunti ya Bungoma asubuhi hii wamevamia makanisa mawili ya katoliki eneo hilo ambayo yamekuwa yakiendesha misa za kanisa...
ZARI 4

Dry spell itanimaliza aki! Siwezi kutoka kwa boma langu ,Zari asema

NA NICKSON TOSI Mataifa mengi barani yamechukuwa hatua za haraka za kuhakikisha kuwa hakuna wananchi wanaoranda randa mitaani ama kukutana na watu kihole baada ya...
gym

Tumia curfew vyema! Njia 10 za kukusaidia kupunguza mafuta mwilini

  Mara yingi sababu ambazo sisi hupeana ama hutumia inapofika ni wakati wa kutunza miili yetu ni za kustaajabisha, hata hivyo nitasema kuwa zingine zinaeleweka....
images (2)

‘Mpenzi wangu Chioma ana virusi vya Corona, ‘ Msanii Davido atangaza

    Msanii maarufu kutoka Nigeria, Davido ametangaza kuwa mpenziwe, Chioma amepimwa na kupatikana na virusi vya COVID-19. Akitangaza habari hizo kupitia ukurasa wake wa...
imk

Idadi ya watu walioathirika na virusi vya Corona nchini yazalia 31

NA NICKSON TOSI Waziri wa afya Mutahi Kagwe amedhibitisha kuwa watu walioathirika na virusi vya Corona nchini yasalia kuwa 31 ,Nairobi ikiwa inaongoza na visa...
boris

Yanayojiri hivi sasa,Boris Johnson apatikana na virusi vya Corona

NA NICKSON TOSI Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amepatikana na virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo na daktari wake wa kibinafsi Chris Whitty,...
MC-Jessy-smiling

Hivi Somali guy ndio MC Jessy ?Mpenzi wa Betty Kyallo ama ?

NA NICKSON TOSI Joe Muchiri ameibua hisia mitandaoni baada ya kutuma video iliyokuwa inawaonyesha MC Jessy na Betty Kyallo usiku wakiwa katika kituo cha kuuza ...
Jambo Breaking News banner

Taarifa za hivi sasa! Mwanamke aliyekuwa amewekwa chini ya uangalizi Nakuru afariki

NA NICKSON TOSI Waziri wa afya kaunti ya Nakuru Gichuki Kariuki amedhibitisha kuwa mwanamke aliyekuwa amewekwa chini ya uangalizi kwa jina Elizabeth Holloway kutoka Afrika...
pjimage (18) (1)

Pesa sabuni; Cheki jinsi viongozi wako wakiwa watoto

NA NICKSON TOSI Katika maisha ya kila mwanadamu kuna hatua ambazo alipitia kabla ya kuwa na mafanikio fulani na ya kujivunia kutokana na changamoto ambazo...
jowie

Baada ya kutoka gerezani, adai kumlipua mwanamke ”lungula” hadi kupoteza fahamu

NA NICKSON TOSI Joseph Irungu almaarufu Jowie ama kwa jina jingine alilobadili siku moja tu baada ya kutoka gerezani Kush amebadili mtandao wake wa kijamii...