Lioness!!Tazama picha za mwanawe Museveni Natasha Karugire

Mwanawe rais wa nchi ya Uganda Yoweri Museveni amekua kwa haraka huku  wakiwapendeza wengi kwenye sekta ya tasnia ya burudani yeye na mama yake.

Natasha Museveni Karugire anafahamika sana kwa utendakazi wake wa burudani kama vile kutengeneza nguo za waigizaji na hata filamu.

Filamu yake ya '27 gunis an action ni kuhusu baba yake Museveni  na wenzake wakati wa vita vya kichakani vya Uganda.

Natasha aliandika na kuelekeza filamu hiyo ilioigizwa Kampala mnamo tarehe 8 Septemba 2018 kisha kuigizwa tena mjini Johannesburg Afrika kusini mwaka huo huo Septemba 19.

Filamu hiyo ni kuhusu kijana mdogo sana na wenzake wanaocha kwao na kuenda kupigania uhuru wa nchi yao.

Hizi hapa picha zake;