Willy paul

LO! Pozze pia asaka mke

willy paul and Nandy (1)

Mwanamziki maarufu nchini kenya, Willy Paul amewaomba wakenya wamweleze mambo muhimu unayofaa kuzingatia ukitafuta mke. Pozze kwenye akaunti yake ya Instagramu amedai kuwa anamtaka mke ila hajui achague yupi.

What are the qualities ofย  a good woman?Niambieni maana hapa wapo wengi wanangoja mkuno ila sijui wa kweli jamani,” Willy paul aliuliza.

Nahisi kama niko katika msimu wa tano wa maisha yangu,โ€™ Makena asema

Willy paul sasa ni msanii wa pili kuenda peupe kusema kwamba yuasaka mke mwema baada ya Ringtone kuanzisha viroja na sarakasi za kutafta mke. Jambo hili linajiri baada ya mjadala kuibuka kuhusiana na madai kuwa huenda Pozze alizipa nyimbo za injili talaka na sasa anaogelea katika raha za dunia.

Zaeni Muijaze Tanzania ! Magufuli awashauri wanawake wa TZ

View this post on Instagram

What are the qualities of a good woman? Tell me coz wako hapa wengi wanangoja mkuno but sijui wa kweli jamani.

A post shared by W.I.L.L.Y.P.O.Z.Z.E (@willy.paul.msafi) on Jul 2, 2019 at 2:26am PDT

Haya ni baadhi ya majibu aliopokea Willy Paul baada ya kutuma ujembe kumtafuta mke:

absalomwah :Yule anaeza treck from tao to Ronga fare ikipanda to sh300..na akifika home apike ugali ,sukuma mayai

oloojotieno :Mpe ringtone achague kwanza

aestro.emmanuel:Mwana mkunaji wakune wote

ikk_rwandis:Jifanye maskini Kwa siku moja..ndo utajua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

probigfish:Pozee tafuta figure eight ndio uskie utame๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments