sehemu za siri

Maajabu ya musa! Jamaa aumwa na kujeruhiwa sehemu za siri na mkewe

Polisi mjini Bungoma wanachunguza kisa ambapo mwanaume mmoja na ambaye ni muhudumu wa pikipiki mwenye umri wa makamo kutoka kijiji cha Okanya, anauguza majeraha katika sehemu zake za siri.

Jamaa auwawa kwa kunyofolewa sehemu za siri Bungoma

Hii ni baada ya kuumwa na mkewe walipokuwa wakizozana yumbani.

Huku wale walioshuhudia kisa hicho wakisema kwamba wawili hao walikuwa wamebugia pombe kupindukia, kwamba huenda ndio chanzo cha mkewe kumuuma na kujeruhi mumewe sehemu zake za siri kutokana na kumshuku kwamba huenda alikuwa na mpenzi wa nje ya ndoa na sasa anaendelea kupata matababu.

Jamaa Aliyenyofoa Sehemu Za Siri Za Mpwa Wake Anusurika Kifo Baada Ya Kupewa Kichapo Cha Mbwa

 -Brian Ojamaa

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments