'Madam start packing!' Akothee awaambia 'slayqueens' walioachwa na 'sponsors'.

67734638_383375892349181_2137744610255050069_n
67734638_383375892349181_2137744610255050069_n
Msanii Akothee amewapa 'slayqueens' ushauri wa bure wakati huu wa karantini. Kupitia mtandao wa kijamii, akothee aliwaambia, kwa sababu 'sponsors' wao wako karantini na familia zao hawawezi kupokea simu zao kwa sasa.

Aliwaambia waamke na kisha wakumbuke 'sponsors' wao wako na familia na kuwacha wakifa na baridi humu nje.

“SO IF I WERE YOU, IF THIS IDIOT IS NOT PICKING UP CALLS, MADAM, START PARKING.” Aliandika Akothee.

Hii ina maana kuwa, kipato chao cha pesa sasa kitakuwa chini kwa maana itawabidi watumie pesa zao na famiilia zao kwa wakati huu.

“THOSE WHO CANNOT GO BACK HOME ARE STUPID, BECAUSE THEY ARE THINKING OF PROCRASTINATING AND RENT IS ACCUMULATING,” AKOTHEE Alisema.

Alizidi na kuzungumza na kuwapa ushauri kuwa

“MADAM, IF YOU KNEW YOU DON’T HAVE A JOB AND YOU ARE DEPENDING ON SOMEONE TO PAY YOUR RENT THAT MONEY IS NOT COMING BETWEEN NOW AND JUNE.” Alizungumza.

Yote tisa kumi ni 'sponsors' sasa wameshikana na familia zao na kile kidogo wanapata inawabidi washughulikie familia zao.

Akothee alikuwa na haya ya kuwaaambia

“I DON’T KNOW WHAT YOU WILL DO WITH THE HOUSE BECAUSE THIS PERSON HAS A FAMILY AND EVERY LITTLE MONEY EVERYBODY HAS NOW THEY ARE KEEPING IT FOR THEMSELVES.” Alisema Akothee.