Maeneo bora ya kumpeleka mpenzi wako jijini Nairobi wikendi hii

1.Brew Bistro & Lounge

Brew Bistro & Lounge ni hoteli inayaopatikana Nairobi maeneo ya Westlands.

Chakula ni kizuri na huduma yao ni bora. Muziki ni mzuri hasa kwa wanaopenda muziki wa EDM.

Bei sio mbaya na pia wana vinywaji aina ya cocktails na pia wana dari.

2.Mamba Village Nairobi

Mamba village inapatikana eneo la Karen.

Ni eneo bora la picha, safari za familia, harusi na kumpeleka mpenzi wako.

Kuna wanyama kama vile mamba.

3.Karen Country Club

Kwa wanaopenda mchezo wa gofu Karen Country Club ni mahala pa kwenda.

Pia wanavyakula vizuri.

4.Charlies Bistro

Charlie's Bistro inajulikana kwa vinywaji vyake vijulikanavo kama cocktails na chakula chao pia ni kitamu.

Soma mengi