Mafanikio hayaji na usiku mmoja,'ujumbe wa Cate Actress wa kutia moyo

Muigizaji Catherine Kamu almaarufu Cate Actress ni mmoja wa waigizaji ambao wanapendeza mashabiki wake kati ya waigizaji wengi humu nchini. Kwa kifupi ni kuwa anafanya vyema katika sanaa hiyo kwa muda mrefu.

Lakini haya yote hakufanikiwa na usiku mmoja bali alitia bidii kwa kazi yake ili kupata hayo yote. Aliwahimizaa wasanii na waigizaji chipukizi wawe na subira ili kupata hayo yote.

Cate alifahamika sana kupitia kwa kipindi cha 'mother in law' na kwa sasa anafahamika sana kwa utendakazi wake, kwenye mitandao ya kijamii ya instagram Cate alikuwa na haya ya kuwashauri.

“IT TAKES TIME … I STARTED ACTING AT 21 , AM 33 NOW , THAT MEANS I HAVE OVER THE YEARS (12 yrs ) BUILT AN AUDIENCE THAT HAS GROWN WITH ME , IT DOESN’T HAPPEN OVERNIGHT, IT’S A JOURNEY , THERE HAS BEEN SWEAT ,AND TEARS." Aliandika Cate.

Pia alizungumzia changamoto ambazo amekumbana nazo kwa safari yake;

“I HAVE HAD MAJOR WINS AND TERRIBLE FALLS IN THIS JOURNEY , BUT I NEVER GIVE UP.

I HAVE ALSO CHOSEN TO NEVER ARRIVE BECAUSE SUCCESS IS A JOURNEY NOT A DESTINATION.

 SO MY DEAR YOUNG FOLLOWER , YOUR VISION IS VALID , KEEP YOUR PACE, ROLL WITH A SQUAD WITH VISION , STAY PRAYED UP( Gods guidance is everything) 

REMEMBER THERE IS ALWAYS A STORY BEHIND THE GLORY , WRITE YOURS , AT YOUR OWN PACE SWEETHEART. YOU GOT THIS CHILD.. 🙌🏽🙌🏽 ….. with love Aunty Kate ❤️." Aliandika.

Natumai wengi wataelewa ujumbe wa Cate na kutilia maanani kuwa haraka haraka haina baraka na kwa kweli hawakukosea waliposema subira huvuta heri.