Magavana Kumchagua Mwenyekiti Mpya Leo

Isaac Ruto. | picha: the-star.co.ke

Magavana leo watamchagua mwenyekiti mpya baada ya muda wa kuhudumu wa Isaac Ruto kufika ukingoni.

Magavana watatu Peter Munya, Salim Mvurya na Wycliffe Oparanya wanawania kiti hicho.