magufuliblastsminster

Magufuli atangaza kurejelewa kwa shughuli za michezo Juni 1

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengaza hii leo kuwa shughuli za michezo katika taifa hilo zirejelewa Juni mosi mwaka huu 2020.

KDF yatumwa kwenye mipaka ya Kenya na Ethiopia kuzuiya watu kuingia nchini

Ametangaza pia usafiri wa ndege katika taifa hilo kurejelea Mei 27 ili kuboresha sekta ya utalii.

Image

Magufuli pia ametangaza siku tatu za maombi ya kitaifa kwa taifa.

Bold or Dangerous? Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1

Tayari kiongozi huyo alikuwa ametangaza kufunguliwa kwa vyuo na shule.

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments