Maisha yetu yako hatarini watoto wa wamalwa wasema

1885006(3)
1885006(3)
Watoto wawili wa Michael wamalwa aliyekuwa naibu wa rais wasema maisha yao yamo hatarini na familia yao kuwatishia kuwafukuza nyumbani kwao.

Michelle Nafuna anayejulikana kama (cChichi) na Derek Mboya wali mtuhumu au kumlaumu mjomba wao CS Eugene  Wamalwa kuungana na jamaa zao ilikunyakua mali ya baba yao.

Jana Chichi alisema kuwa wamekuwa wakitishiwa na jamaa zao.

Alisema kuwa aliweza kupokea tisho kutoka kwa mmoja wa shangazi yake. "Aliniambia kuwa walitarajia kuwa yeye ni mmoja wa Wamalwa lakini hakuwa mmoja wa watoto wake.

"Alinitishia akiniambia na faa kuwa mwangalifu,nimeongea na wakili wangu na tuna fungua faili ya kulindwa dhidi ya familia yote ya Wamalwa", Alisema Chichi.

Jumamosi ndugu zake watatu - Alice Muthoni, William Wamalwa na William Wamakwa snr - waliweza kufukuzwa kwa madai ya kwamba wanaaibisha familia.

CS Eugene amebaki kama mama na ndoto ya machozi ya magogoro wa kutawanya familia. Alikataa kuongea na wanahabari ijumaa kisha kusema ata zungumza siku ya jumamosi.

"Alice ndio anapaswa kuongea kwa niaba ya mali hiyo,"Alieleza CS.

Familia hiyo ina mgogoro wa mali ambayo CS alieza kuachia wanawe tatizo ambalo limefanya Chichi kuacha shule kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Chichi aliweza kusema kuwa ndugu zake hawajahi msaidia amekuwa akijisidia na kusaidiwa na nduguye Derek na shangazi mmoja ambaye anafaamika kama Jacqueleen Nangami Nyangweso.

Katika mazishi ya ambassador Yvonne Wamalwa naibu wake rais Uhuru Kenyatta alisema kuwa serikali itahakikisha kuwa watoto wamesoma.

Familia ya Yvonne  inasema kuwa ina wakati mgumu kwa mama tangu babayao afariki miaka 15 pesa zake za uzeeni bado hajitaka.

Wamalwa alifariki bila kugawanya mali yake septemba12, 2003. Yvonne aliweza kuomba na kupata vijikartasi za kujiandikisha.

Januari 25, 2005 ruzuku hiyo iliweza kurekebishwa kuwa Muthoni aweze kuwa msimamizi na kupinga Derek kuwa msimamizi wa mali hiyo.

"Ukienda kutafuta msaada watu wana kuambia kuna watu katika familia yenu ambao wanaeza kukusaidia,"watu hao ndio wanatuaribia maisha," Alielezea Chichi.

Kituo cha mstari ni nyumba ilioko eneo la Karen ambayo nusu ililipwa na serikali ya Kenya baada ya Wamalwa kuaga.

Kabla ya Wamalwa kuaga aliweza kulipa kiasi cha millioni 19.5 na kisha serikali ikamaliza deni kwa kulipa millioni 31.9.