Majonzi yangu yalianza kwa runinga nilipoona bwanagu ameoa mtangazaji Esther Arunga

Alijua kwa vyombo vya habari kwamba bwanake ameoa.

Rose Mueni, alikuwa ameolewa na Quincy Timberlake.

Quincy Timberlake aliweza kuwa kwa vyombo vya habari na tuliweza kumjua baada yake yeye ku kupatana na Esthe rArunga ambaye alikuwa ni mwanahabari na kulikuwa na vituko vingi sana. Ilikuwaje?

Rose Mueni, bibi yake alisimulia

'Quincy tulipatana mimi nikiwa shule, na yeye alikuwa pale Alliance Francaise, Alikuwa nasomea French, so tulikutana na yangu nasema ilikuwa love at first sight then fromt here tukakuwa na uhusiano. Kisha nikawa mke 1999, though sikufanya harusi ya kanisani, hiyo ilikuwa ikuje later. Then from hapo tukakuwa familia nikapata watoto watatu Quincy, Trevor na Cassidy. Tukaisihi na yeye kwa ndoa miaka kumi.

Je majonzi yake yalianza lini?

siku moja nili kuwa kwa nyumba kama kawaida alafu jirani yangu akaja akaniuliza kama kuna news yoyote nimeona, nikamwambia sijaona, nikakuwa curious, nikamuuliza mbona unaniuliza? Akaniambia kuna jambo nimeona lakini sitaki niwe wa kwanza kukuambia, naeza taka uone breaking news at 4. 

So wakati niliona breaking news ilikuwa ni Quicny ameoa Esther.

Doh, aliwezaje kuoa bila Rose Mueni kujua?

'Alikuwa ametoka ameenda safari kama mda wa wiki moja nikamtayarish akam vila mke hutayarisha bwana, akaenda safari. Ilikuwa safari ya kwenda kazini, ilikuwa aende kukaa kwa wiki moja so baada ya ile wiki moja hakuja ile siku alikuwa namtarajia alikuaj I think foru days later. So after hizo siku nilikuwa namtarajia baadaye mimi niliona kwa runinga akiwa ameoa Esther. Sasa yangu ilikuwa mshangao kwanza sikuamini 

Baada ya kushikwa na butwaa, alifanyaje?

Nilipiga simu but nikapata simu yake ikiwa mteja siku hiyo sp personally huwa nareact pole pole, so baadaye nikafikiria labda nimchezo wa kuigiza na labda alikuwa anataka iwe surprise. Nikangoja akuje labda hii ni soap opera.

Ikawa ni safari ndefu kutoka wakati huo hadi leo ambacho niliogopea 

bwanake alikuja vipi nyumbani, waliongea aje?

Baada ya hiyo harusi alikuja nadhani after wiki moja Alikuja nyumbani kama vile yeye huja tu siku zingine za kawaida akabisha akaketi chini niakmgoja anielezee. Hakunielezea anything yeye alikuja tuu kama the man of the house tukaongea mambo ya nyumbani. So mimi hujiuliza mbona sikureact I never asked that man anything, so 

Ilikuwa inasemekana kwamba aliweza kuwa katika cult na Joseph Helon wakisema kwamba moja wao alikuwa rais. 

'But hiyo ya cult naweza mtetea, ata kama tumekuwa na differences zetu kwasababu angekuwa kwa cult mambo ya cult ilijitokeza wakati walipoteza mtot wao wakiwa Australia na watu wakaongea sana  ni kwasababu ya cult anaweza kuwa amesacrifice mtoto wake but hapo ninakataa kwasababu ingekuwa yuko kwa cult hawa watoto wangu ndio wangekuwa wa kwana kuptatiwanwa. And then alikuw mtu mcha mungu sana. kwa hiyo siwezi mambo yake ya kuwa kwa cult kwasababu sitaki kumwekelea jambo ambalo sijaliona.

Quincy aliweza kunedelza jukumu lake kama baba?

Alikuwa akija kuona watoto, alikuja kuendeleza jukumu lake kama baba hakutuwacha tuu immediately aliendelea, akaendelea wakati alikata communication alivyo enda Australia tulipoteza mawasiliano kabisa 

Kabla ya kutoka Kenya, Quicny aliniletea katiba nisoma ili niweze kujua kwamba katiba inasema a man is allowed to have more than one wife. Nikama alikuwa ananiambia hajaniwacha hata kama ameoa mke mwingine. So hapo nikasink into depression nikawa sielewi najiuliza maswali so nikawa na mda mgumu sana hapo ndio nilianza my walk with God.

Rose Mueni alisema baada ya kugundua mume wake ameoa na bwanake hakumwambia kwa kumkalisha chini alikuja tuu kwa kubeba katiba akamwambia some hiki kipengee