Malimwengu haya! Binti atoa maisha ya mama yake

Mwanamke Judy Wanjiku mwenye miaka 73 alipatikana amefariki kwenye mtaa wa South B akiwa na mtoto wake wa kike.

Vilevile, Polisi walisema kuwa, kuna mtu aliyewapigia  na kusema kuwa ameua na  kuwaambia polisi aje wamuue pia

"Nimeua. Sasa kujeni muniue"

Utafiti uliofanywa unakisia kuwa ni binti yake mama huyu alimuua mama yake.

Familia hii iliishi pamoja na baba yao ambaye alikuwa hospitalini wakati huo.

Polisi walisema kuwa, Catherine Nyaguthiii mwenye umri wa miaka 47 ndiye alichukua maisha ya mama yake mzazi na kuchukua maisha yake pia.

Zaidi ya hayo, inasemekana kuwa, inaeza kuwa binti huyu alikunywa sumu kwani hakukuwa na alama zozote za kuumizwa kwenye mwili wa binti huyu.