‘Malizana na baby mama kwanza,’ Wakenya wamwambia Ben Githae

ben-githae
ben-githae
Baada ya msanii  Ben Githae kuhudhuria mkutano wa wanaume hii leo wakenya wengi wamkejeli na kumwambia amalizane na mama wa mtoto wake.

Hii ni baada tu ya kuenda katika mkutano wa wanaumena kukana madai kuwa hakimbii mke wake licha ya kuwa ni siku ya wapendanao.

Mkutano huu ulifanika katika hoteli moja nchini inayojulikan kama Sarova stanley.

Akiongea wakati wa mkutano huo alikuwa na haya ya kusema;

"Si mkimbii mke wangu, niko tayari kupatana naye na kumpa maelezo bali wakati huu anajua niko katika mkutano wa wanaume #Men conference2020." Alizungumza Ben.

Kwa wale hawajui Ben alikuwa na kesi ya kutowasaidia watoto wake mapacha wa mpango wa kando, jambo hilo lilimfanya Ben na mkewe wa kwanza uhusiano wao uwe na msukosuko kwa maana ni jambo ambalo lilikuwa linajulikana kwa umma na watu wengi.

Hapa hisia za wananchi walizomwambia Ben Githae.

Shiko Mwas: Kwanza Githae shughulikia twins wa mpango wa kando wako, toa uweupe hapo, nkt.

Isinta T Matwetwe: Huyu afai kukua kwa men’s conference. Bibi afai kujua mahali uko Kila saa especially kama una attend this very important conference for men.

Abbyless Abigail Lovesey: Alafu kesho utaimba wimbo about all the notes you guys discussed, Githae will snitch everything through a song, I wish angekuwa tu usher kwa mlango.

Caleb Ochieng: And the plan worked, air the fake one🤣🤣🤣. Wale wako the real one sai tuko topic inaitwa “multitasking”. 

Stephen Ndesh Nj: Unless this guy asks for forgiveness through writing to us men through our chairman His highness one and only Mzee Kibor… Zile upuzi zake za nyimbo zilitupeleka kubaya.

Rachael Ndinda Musango: Before he attended the conference let him fix the problem with baby mama no way u can’t help your kids u deny them n UA in a conference wat for.

I got respect for all responsible men who take care of their kids may their financial break be expanded always.

Sonnihgal Sonny: Ben Githae should be told to apologize for misleading us with the song tano tena. Real men apologize.