Mama marehemu: Uavyaji mimba unavyowageuza wasichana kuwa mama bila watoto+Podi ya Yusuf Juma

abortion
abortion
Ufichuzi wa msichana mmoja kwamba  ameavya mimba sita  umewagutusha wengi kwani ana umri wa miaka 24 pekee .alitoa mimba yake ya kwanza akiwa darasa la nane .

&t=11s

Katika Podi hii tunaangazia swala zima la wasichana kuavya mimba ,utumizi wa kinga ,na  watoto kuanza kushiriki ngono wakiwa na umri mdogo . Iwapo ulikosa kisa hicho basi kisome .

Ni ufichuzi ambao hata yeye unamshangaza kwa sababu wakati wanapofanya kitendo hicho ,haja huwa kuondoa mimba haraka anavyoweza   kwa sababu anasema hayuko tayari kumlea mtoto wala hajaolewa na hivyo basi hana uwezo wa kuanza kuwa mzazi . je,ilinzaje mpaka ikawa mtindo kwake kuanza kuavya mimba?