Mama wa kambo azua fujo harusi apigwe picha

ghost mulee cover
ghost mulee cover
Je katika siku ya sherehe kama harusi, ni ungwana  kuleta uhasama katika maeneno ya harusi?

Katika kipindi cha Gidi na Ghost asubuhi kila wiki, bwana Ghost Mulee huwa anasimulia hadithi za county. Kulingana na Ghost, kulikuwa na harusi wa kijana wa mke wa kwanza, na katika harakati za harusi ikafika kipindi cha kupigwa picha. Sasa mama kambo pia alijiunga na familia kupigwa picha na bwana na bi harusi, na hapo ndipo mambo yalienda mrama.

Ilibanika kwamba mama wa kijana hakuwa anataka mama kambo apigwe picha na kijana wake na hapo ndipo shida iliingilia.

Hao wamama wawili wakaanza vita na vurugu ya nani anafa kipgwa picha. Ilibidi kijana aingilie kati kati. Je maoni yako kuhusu wivu kati ya wamama ni yapi?

Skiza kanda ifuatayo;