Mamayoo! Tazama picha za Tanasha kabla ya kukutana na Diamond

90089293_199918631265198_8284504329692590265_n
90089293_199918631265198_8284504329692590265_n
NA NICKSON TOSI

Tanasha Donna jina ambalo likitajwa na wengi kinachowadia akilini mwa watu ni jinsi kidosho huyu alivyoumbwa na kuumbika.

Ikiwa ni jumamosi tu iliyotulia na mandhari tulivu yanayotaka macho kufurahishwa na picha nzuri ama kuona sura ya mtoto wa kike aliyeumbika,hapa nimekuandalia picha za Tansha kabla ya kukutana na Diamond.

Tazama na utupe maoni yako.

Huu urembo hautaki makasiriko kweli,lakini ni mwanamume mwenye akili timamu anaweza wachana na mtoto ambaye kiuno kimekubali kama cha nyiku jinsi Tanasha alivyo?

Kumbuka kuwa Tanasha alijumuisha katika video ya Wimbo wa Alikiba akimshirikisha Christian Bella wa Nagharamia.

Natumai macho yako sasa yamefurahia kuona urembo wa Tanasha japo kwa picha tu