Manchester City kushiriki kombe la Ulaya baada ya marufuku ya miaka 2 kufutwa

Manchester City itashiriki katika kipute cha Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya marufuku yao ya miaka miwili kufutiliwa mbali na mahakama ya rufaa.

Mahakama ya Kusikiza Kesi za Michezo (CAS), iliondolea klabu hiyo mashtaka ya kuvunja sheria za kudhibiti fedha inazotumia kutoka kwa udhamini kipindi cha mwaka 2012 na 2016.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter habari hizo ziliibua hisai tofauti huku mashabiki wake wakifurahishwa na uamuzi wa mahakama hiyo.

"BREAKING: Manchester City’s two-year European ban has been lifted, and their fine reduced to €10M, by the Court of Arbitration for Sport."

Huku wengi wakikejeli timu hiyo ya man city.

https://twitter.com/abuzittin2e/status/1282611976900947968