Mapenzi matamu! Tazama Betty Kyallo na mpenziwe walikoenda kujivinjari

betty
betty

Hivi majuzi, Betty Kyallo alifichua picha ya mpenzi wake siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake na kwa sasa, wawili hawa wamesafiri kujivinjari.

Betty Kyallo na mpenzi wake wa kihindi walisafiri kuenda kwenye mapumziko pamoja, mahali ambapo si pesa tu walitumia bali pesa nyingi.

Wawili hawa wako katika kaunti ya Mombasa, mtaa wa Ukunda na pamoja na kutokana na video na picha anazoweka Betty kwenye mtandao wa kijamii, ni wazi kuwa, wawili hawa wanafurahia waliko na mapenzi yao yanazidi kunoga.