Mapenzi ya mtoto: Ali Kiba na mkewe waungana kusherehekea mwanao

Ali Kiba alifungua mwaka mpya na baraka tele kwa kupata nafasi ya kuwa na mwanawe. Isisahaulike kuwa Kiba alikuwa na mwaka wenye misukosuko wa 2019 huku yeye na mkewe wakiwa na masaibu chungu nzima.

Lakini kabla ya mwaka kukamilika, mambo yalimwendea vyema baada ya kusameheana na kurudiana na mpenziwe kabla ya wawili hao kuungana na kuzima ugomvi uliowahusu.

And boy was the gossip nasty. The rumour was that the fight between Ali Kiba and his wife were due to the fact that his family; his mothers and sisters were an ever-present spectre that loomed large over his marriage.

Uvumi ulionezwa ni kuwa kulikuwa na mapambano kati ya Ali Kiba na mkewe ni kuwa familia yake; mama yake na dada zake waliingilia sana ndoa yao jambo ambalo lilileta tatizo kwa ndoa yao.

Basi tizama picha za wanandoa hawa wawili wakicheza na mwanao: