Mashabiki kutoa hisia zao baada ya Avril na Naiboi kusamehana

Inaonekana kwamba mambo yako shwari kati ya msanii Avril na msanii Naiboi baada ya kuwa na ugomvi mwaka wa,2018,

Wawili hao wamekuwa katika mstari wa mbele wa mashabiki wao walipoanza ugomvi wao, ugomvi huo ulianza wakati msanii Naiboi alitaka kumshirikisha  Avril katika wimbo wake wa 2in1 na kisha Avril akakataa.

Avril alipeana sababu zake za kutoshiriki katika wimbo huo.

"Nilikuwa hospitali sikuwa najihisi vizuri, na sikujisikia kuimba na yeye wacha watu wafanye vile wanajisikia kufanya." Alieleza Avril.

Ugomvi huo uliwaka moto awali mwaka huu, ambapo Avril aliandika ujumbe katika mtandao wa kijamii.

"Duude kwani nilibreak heart yako aje?? Twenty twenty haitaki makasiriko ya 2018, holding on for two years?!!!

Gaaai I'd hate to be your chic, forgive and forget mschew 🤣🤣🤣🤣." Avril Aliandika.

Jana Avril alipost picha ya Naiboi katika mtandao wa kijamii na kuandika maelezo mafupi.

"Ahem. Goodmorning fam 😁.

."Avril Aliandika.

Naiboi hakubaki bali aliposti wimbo wa Avril wa Chokoza katika mtandao wake.

Bada ya mashabiki kuona hayo waliandika hisia zao na kusema,

baraxgold @Naiboi Sema you love this gal story iishe.

mosesshitote Usipime mwanaume.

princenewton_ Y’all just drop the song 🥴.

tracywaithera Aki mkona ufala leo🤣🤣🤣😍😍.

mwelujackline Halafu awe Mluhya. 😍😍😁..fullcourse meal.

iphone_lanekenya Good to see you two patch things up 🤗.

benkaga Hii ni collabo inakuja, @thenaiboi cheza na rieng.

 carolcarotez This is something else.Avril