Mashabiki wake Willy Paul wamemcharukia kuhusiana na suala lake la kumtaka aliyekuwa mpenziwe, Alaine.
Willy Paul amewashtua wengi baada ya kuweka ujumbe wa kimapenzi kumuhusu mwimbaji wa kijamica, Alaine.
Mashabiki wake wamemwonyesha hisia mbalimbali kuhusiana na jambo hilo. Pozze alikuwa na uhusiano kabla ya kuachana naye Alaine aliyeokoka mwaka huu.
syrenewaithera
Give us peace and line up with @ringtoneapoko mujisort na problem zenu ziko alike life is short
anne_kalivisia
vitu kaa izi ndio zinafanya eric atuchomee tz...ni hujumaa😭😭willy wacha aibu🤣🤣
harmolitz
Bwana mkunaji unataka kukuna pia Alaine , 😂😂😂 all the best bro
le_fuun
😂😂😂😂😂😂😂😂 Na Ulisema Hutolia.......🙄🙄
edukartel
Haha bawana mkunaji 😂😂
wanjiku2246
umeambukizwa ujinga na ringtone